Vinjari kwa uhuru bila kujisajili — soma maelezo, angalia picha, linganisha bei. Miamala yote inafanyika salama ndani ya Deal Room moja, kuanzia ofa ya kwanza hadi malipo ya mwisho.
Kuanzia nyumba hadi mashine nzito — tafuta na ununue kwa kategoria iliyo wazi.
Kategoria zinakuja hivi karibuni.
Matangazo yanakuja hivi karibuni.
Kila ofa na counter-offer inahifadhiwa kwenye Deal Room — hakuna anayeweza kufuta au kubadilisha makubaliano baadaye.
Ada ya utendaji inakatwa kiotomatiki baada ya deal kukamilika — hakuna makisio, hakuna mzozo wa mahesabu. Kiwango cha sasa: ....
Dalali/Muuzaji, Mteja, na Admin kila mmoja anaona anachostahili tu — hakuna taarifa za kuvuja kati ya akaunti.
SokoMkononi imetengenezwa kufanya kazi kwenye vifaa vyote hasa simu kwasababu ya injini za utafutaji na wingi wa watumiaji.
Malipo yanafanyika ndani ya Deal Room chini ya utaratibu uliokubaliwa, siyo kwa mazungumzo ya nje yasiyofuatiliwa.
Kila kitendo nyeti kinahifadhiwa kwa ajili ya ukaguzi — muhimu ikitokea mgogoro.
Hatua tatu rahisi kutoka kuvinjari hadi kufanya biashara salama.
Tafuta unachokitaka bila kuingia gharama au kujisajili — soma maelezo na uangalie picha kwa uhuru.
Pata namba au njia ya moja kwa moja ya kuzungumza na dalali/muuzaji aliyeweka tangazo husika.
Kamilisha makubaliano na ufanye manunuzi yako kwa urahisi ndani ya Deal Room.
SokoMkononi haikatwi ada yoyote kwa kuvinjari au kuweka listing. Ada ya Utendaji inayoonekana hapo juu ndiyo asilimia pekee inayokatwa — na hiyo ni tu baada ya deal kukamilika ndani ya Deal Room. Kiwango hiki kinadhibitiwa na Admin.
Jukwaa letu linatanguliza usalama wa kila muamala kwa kuwa na taratibu zilizowekwa wazi za kukabiliana na changamoto zozote zinazojitokeza.
Kila tangazo linapitishwa na Admin kabla ya kuwekwa hadharani, kupunguza uwezekano wa matangazo ya udanganyifu.
Malalamiko yanachunguzwa na timu maalum, na uamuzi unatolewa kwa uwazi kwa kuzingatia ushahidi uliopo.
Malipo yote yanafanyika ndani ya Deal Room, kuepuka hatari ya ulaghai kupitia mazungumzo ya nje ya mfumo.
Mazungumzo, ofa, na makubaliano yote yanahifadhiwa kama ushahidi wa kudumu wa muamala mzima.
Wanunuzi na wauzaji wanaweza kuripoti tatizo moja kwa moja kwenye dashibodi zao au kupitia mawasiliano ya msaada.
Timu yetu inapatikana kutoa mwongozo na ushauri kwa wanunuzi na wauzaji wakati wa mchakato mzima.
Maoni kutoka kwa wanunuzi na wauzaji wanaotumia jukwaa letu

"Nimeuza nyumba 3 kwa mwezi mmoja! SokoMkononi imenisaidia kufikia wateja wengi. Mfumo ni rahisi na Ada ya Utendaji ni nafuu."
Kila mhusika ana nafasi yake, na RBAC inahakikisha hakuna anayeona zaidi ya anachoruhusiwa.
Dalali/Muuzaji anaweka listing, inapata Listing ID na kusubiri idhini ya Admin.
Mteja anatafuta, anauliza, au anatoa ofa ya bei.
Historia yote ya majadiliano inahifadhiwa na haiwezi kufutwa.
Malipo yanafanyika ndani ya mfumo baada ya makubaliano.
Mteja anathibitisha, Ada ya Utendaji inakatwa, salio linabaki kwa Dalali/Muuzaji.